Kinara Wa ODM Raila Odinga Azidi Kumpiga Vijembe Naibu Rais

EbruTVKENYA 2021-09-08

Views 4

Kinara Wa Odm Raila Odinga Amezidisha Vijembe Vyake Dhidi Ya Naibu Wa Rais William Ruto Katika Tofauti Zao Za Sera Wanazopania Kutumia Kuwania Kiti Cha Urais Mwaka Ujao. Haya Yanajiiri Huku Kinara Huyo Akipokea Wanachama Kutoka Vyama Vingine Vya Kisiasa Waliojiunga Na Chama Cha Odm. Kulingana Na Odinga Ni Wakati Wa Wakenya Kukomesha Siasa Potovu Na Za Ulaghai …

Share This Video


Download

  
Report form