Magavana 30 Wametangaza Kumuunga Kinara Wa ODM Raila Odinga

EbruTVKENYA 2022-01-17

Views 16

Magavana 30 Wametangaza Kumuunga Mkono Kinara Wa ODM Raila Odinga Katika Azma Yake Ya Urais.Katika Kikao Na Odinga Eneo La Naivasha Kaunti Ya Nakuru,Magavana Hao Wakiongozwa Na Mwenyekiti Wa Baraza La Magavana Martin Wambora Na Gavana Wa Nakuru Lee Kinyanjui,Wanasema Kuwa Ugatuzi Utakuwa Katika Mikono Salama Iwapo Raila Atapanda Mamlakani Kama Rais.

Share This Video


Download

  
Report form