Wakenya Wameonywa Dhidi Ya Kupata Chanjo Katika Vituo Ambavyo Havijaidhinishwa Na Wizara Ya Afya.Waziri Wa Afya Mutahi Kagwe Mapema Leo Ameonya Kuwa Chanjo Hizo Huenda Zikawa Hatari Kwani Ubora Wake Haujulikani.Na Kama Anavyoripoti Mwanabari Mwenza Winnie Lubembe, Waziri Kagwe Ameliamuru Baraza La Madaktari Nchini (Kmpdc) Kuzinyang'anya Leseni Vituo Hivyo Vya Afya Pamoja Na Wahudumu Wa Afya Husika.