Waziri Kagwe Azitaka Mataika Kushirikiana Kupambana Na Magonjwa

EbruTVKENYA 2021-10-01

Views 4

Kiwango Cha Maambukizi Ya Virusi Vya Corona Humu Nchini Kimefikia Asilimia 4.5% Baada Ya Wizara Ya Afya Kuripoti Visa Vipya 291 Kutokana Na Sampuli 6,501 Zilizopimwa Katika Saa 24 Zilizopita.

Share This Video


Download

  
Report form