Wizara Ya Afya Yaanza Mikakati Ya Kuangazia Tabia Ya Chanjo

EbruTVKENYA 2021-09-07

Views 2

Serikali Ipo Mbioni Kukabili Janga La Corona Huku Hatua Ya Hivi Karibuni Ikiwa Mipango Ya Kuwachanja Wagonjwa Waliolazwa Hospitalini Na Kuangazia Tabia Ya Chanjo Hiyo Kwa Wagonjwa Hao Hususan Walio Na Magonjwa Sugu.Haya Yanajiiri Huku Wizara Ya Afya Sasa Ikipanua Makundi Ya Kuwachanja Wakenya Baada Ya Kuwaruhusu Walio Na Umri Wa Miaka 50 Na Wale Wenye Umri Wa Miaka 18 Kupata Chanjo Ya Corona……

Share This Video


Download

  
Report form