Miungano Ya Wahudumu Wa Afya Nchini Imeshikilia Msimamo Wake Wa Kulitaka Bunge Kutopitisha Mswada Wa Afya Wanaodai Kuwa Unatishia Kudumaza Sekta Ya Afya. Wanasema Kuwa Mswada Huo Una Mapendekezo Hatari Ambayo Huenda Yakapelekea Madhara Makubwa Kwa Wakenya