Waziri Magoha Asema Wanafunzi Walio Na Hatia Kufurushwa Shuleni

EbruTVKENYA 2021-11-08

Views 11

Wanafunzi 35 Wametiwa Mbaroni Kwa Kuhusika Na Mikasa Ya Mioto Shuleni. Haya Yajiri Huku Waziri Wa Elimu Prof George Magoha Akisema Kuwa Yeyote Yule Atakayepatikana Katika Suala Hilo Hatoruhusiwa Kujinga Na Chuo Kingine.

Share This Video


Download

  
Report form