Gavana Anne Waiguru Na Mwakilishi Wa Wanawake Ngirici Wagombania Kiti Katika Chama Cha UDA

EbruTVKENYA 2021-11-28

Views 1

Kinyang'anyiro Cha Kiti Cha Ugavana Katika Kaunti Ya Kirinyaga Kimemweka Naibu Wa Rais William Ruto Hususan, Chama Chake Cha UDA Katika Hali Ngumu Kwani Gavana Anne Waiguru Pamoja Na Mwakilishi Wa Wanawake Wangui Ngirici Wanagombania Kiti Hicho Ndani Ya Chama Cha Kimoja . Akizuru Kaunti Hiyo Katika Kanisa La ACK Kianyaga, Vijana Walizua Vurugu Licha Ya Naibu Wa Rais William Ruto Akuwasihi Kudumisha Usalama.

Share This Video


Download

  
Report form