OKA Wakanusha Ushawishi Kutoka Chama Cha UDA

EbruTVKENYA 2022-01-05

Views 10

Muungano Wa OKA Umekanusha Madai Ya Mipango Ya Kujiunga Na Chama Cha UDA. Vinara Wa Muungano Huo Wamekariri Kwamba Watasalia Kuwa Imara Hadi Uchaguzi Wa 2022.

Share This Video


Download

  
Report form