Wakaazi Katika Kaunti Ya Garissa, Wajir Na Turkana Huenda Wakapata Afueni Hivi Karibuni.Hii Ni Baada Ya Benki Ya Dunia Kutangaza Kuongeza Ufadhili Wake Wa Shilingi Bilioni 10 Ambazo Zitashughlikia Maeneo Yaliyoathirika Pakubwa Na Janga La Homa Ya Virusi Vya Corona.