Nchi Za Ukanda Wa Afrika Mashariki Zipo Mbioni Kuweka Mikakati Kabambe Kukabiliana Na Mkurupuko Wa Kirusi Cha Crona Aina Ya Omicron. Hii Ni Baada Ya Nchi Ya Uganda Kuripoti Visa Kadhaa Vya Virusi Hivyo Hii Leo. Aidha Serikali Ya Kenya Inaokonekana Kujitia Hamnazo Kufuatia Visa Hivyo Kuripotiwa Nchini Uganda. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidiā¦