Kiongozi Wa Upinzani Raila Odinga Sasa Anasema Kwamba Atamshtaki Rais William Ruto Kwa Kumharibia Jina.Akizungumza Hii Leo Katika Mkutano Wa Hadhara,Odinga Amedai Kuwa Mahakama Haikupata Ushahidi Wowote Kwamba Alishiriki Katika Jaribio La 1982 La Kupindua Serikali Ya Rais Wa Zamani Daniel Moi,Na Hivyo Basi Kumuondolea Mashataka Ya Uhaini Ila Rais Ruto Ameendelea Kuharibu Jina Lake.