Wahudumu Wa Afya Wasema Hawajahamasishwa Kuhusu Chanjo

EbruTVKENYA 2021-03-18

Views 4

Wahudumu Wa Afya Wameshilia Kuwa Hawajapata Mafunzo Ya Kutosha Kuhusiana Na Chanjo Ya Corona.Viongozi Wa Wahudumu Wa Afya Kutoka Miungano Tofauti Tofauti Ikiwemo Muungano Wa Matabibu Nchini,Wameshikilia Kuwa Wizara Ya Afya Haijawahusisha Na Hamasisho Kuhusu Athari Za Chanjo Hiyo Ya Astrazeneca Jambo Lilopelekea Wengi Wao Kususia Kuchukua Chanjo Ya Corona.

Share This Video


Download

  
Report form