Muungano Wa Waalimu Nchini Maarufu Kama Knut Umevunja Kimya Chake Kuhusu Mafunzo Mapya Kwa Waalimu ,Huku Ukiwasuta Waalimu Wanaokejeli Mpango Huo.Katika Makala Ya Kipekee Na Runinga Ya Ebru Katibu Mkuu Wa Knut Collin Oyuu Amewataka Waalimu Kukumbatia Mkondo Wa Mazungumzo Badala Ya Kukimbilia Migomo .Jambo Lililojulikana Sana Wakati Wa Hatamu Ya Aliyekuwa Katibu Mkuu Wilson Sossion….