Lalama Za Wahudumu Wa Afya

EbruTVKENYA 2023-03-16

Views 6

Muungano Wa Wahudumu Wa Afya Kmpdu Umetaka Serikali Kuboresha Mikakati Yake Ili Kuhakikisha Mishahara Ya Wahudumu Wa Afya Haicheleweshwi.Mwenyekiti Wa Muungano Huo Davji Atella Alisema Kuwa Ni Swala La Kusikitisha Kuwa Mishahara Yao Ambao Ni Kiungo Muhimu Nchini Tokana Na Mchango Wao Haipati Kipaumbele. Aidha Wahudumu Wa Afya Bado Hawajapata Mishahara Yao Ya Mwezi Wa Februari.

Share This Video


Download

  
Report form