Watu Wengine 194 Wamethibitishwa Kuambukizwa Virusi Vya Corona Leo Hii Kutokana Na Sampuli 1,779 Zilizopimwa Katika Saa Ishirini Na Nne Zilizopita. Hii Inafikisha Idadi Ya Walioambukizwa Corona Nchini Kuwa Laki Moja Elfu 56 Mia 981.Wakati Uo Huo Watu Wengine 21 Wamefariki Kutokana Na Ugonjwa Huo.