Watu 495 Wamepatikana Na Virusi Vya Corona Baada Ya Sampuli 4,929 Kupimwa Katika Saa 24 Zilizopita Na Kufikisha Idadi Ya Visa Hivyo Kuwa 158,821. Visa Hivi Vipya Vinaashiria Asilimia 10.0 Ya Viwango Vya Maambukizi Hapa Nchini. Kulingana Na Takwimu Kutoka Wizara Ya Afya, Watu 19 Wameaga Dunia Kutokana Na Corona Na Kufikisha Idadi Jumla Ya 2,707.