Watu 54 Waambukizwa Corona, 437 Wapona Huku 7 Wakiaga

EbruTVKENYA 2021-09-28

Views 22

Wakenya Wanaitaka Serikali Kulegeza Kamba Ya Kanuni Za Kulegeza Kuenea Kwa Janga La Covid19 Wakisema Kuwa Kanuni Hizo Ziewaathiri Liuchumi. Wengi Tuliozungumza Nao Wanasema Kuwa Chanja Chanja Ya Serikali Inazaa Matunda Kwani Visa Vya Maambukizi Vinapungua.

Share This Video


Download

  
Report form