Watu 166 Wapatikana Na Virusi Vya Corona,93 Wapona Huku 23 Wakifariki

EbruTVKENYA 2021-06-06

Views 6

Watu 166 Wamepatikana Na Virusi Vya Corona Baada Ya Sampuli 3,561 Kupimwa Katika Saa 24 Zilizopita Na Kufikisha Visa Hivyo Kuwa Laki 1 Elfu 72, Mia 491. Kulingana Na Takwimu Kutoka Wizara Ya Afya, Asilmia Ya Maambukizi Nchini Kwa Sasa Imefika 4.7%.

Share This Video


Download

  
Report form