Chama Cha Shule Za Kibinafsi Nchini (KPSA) Hii Leo Kimefanya Uchaguzi Wake Ambapo Maafisa Watatu Wa Kitaifa Wamechaguliwa. Charles Ochome Amechaguliwa Kama Mwenyekiti Wa Kitaifa, Akichukua Wadhifa Huo Kutoka Kwa Mutheu Kasanga Ambaye Amesema Atatumikia Kwa Muda Wa Miaka Miwili Akiwa Na Naibu Wake Solomon Munene Kutoka Kaunti Ya Kirinyaga. Ochome Ameahidi Kufanya Kazi Akishirikiana Na Serikali.Hata Hivyo Amekiri Changamoto Zilizopita Zilipelekea Waziri Wa Elimu Kubagua Shule Za Kibinafsi.