Watu 1488 Wapatikana Na Corona Huku Wanne Wakiaga Dunia

EbruTVKENYA 2021-08-17

Views 1

Kiwango Cha Maambukizi Ya Virusi Vya Corona Humu Nchini Kimefikia Asilimia 15.2% Baada Ya Wizara Ya Afya Kuripoti Visa Vipya 1,488 Kutokana Na Sampuli 9,773 Zilizopimwa Katika Saa 24 Zilizopita.

Share This Video


Download

  
Report form