Viongozi Wakashifu Tukio La Kondole Ambapo Kundi La Viajana Waliupura Mawe Msafara Wa Naibu Rais

EbruTVKENYA 2021-11-10

Views 7

Tukio La Kondele Ambapo Kundi La Viajana Waliupura Mawe Msafara Wa Naibu Rais William Ruto Unazidi Kuibua Hisia Mseto. Gavana Wa Nakuru Lee Kinyanjui Amekashifu Tukio Hilo Huku Akishikilia Kuwa Kila Mkenya Ana Haki Ya Kukampeni Maeneo Kadhaa Nchini. Vile Vile Kinara Wa Anc Musalia Mudavadi Pia Naye Amekashifu Tukio Hilo Huku Akitaka Vitengo Vya Usalama Kuingilia Kati. Isitoshe Wakaazi Wa Eldoret Wameandamana Kufuatia Tukio Hilo.

Share This Video


Download

  
Report form