Naibu Rais Rigathi Gachagua Akutana Na Viongozi Wa Meru

EbruTVKENYA 2023-02-07

Views 0

Naibu Wa Rais Rigathi Gachagua Leo Amekutana Na Viongozi Kutoka Kaunti Ya Meru Katika Jitihada Za Kukomesha Uhasimu Ambao Umekuwa Ukizingira Kaunti Hiyo Tangu Mwaka Jana. Mkutano Huo Ulikuwa Ni Kilele Cha Juhudi Za Kuwapatanisha Viongozi Hao Baada Ya Miezi Ya Kuzozana Na Kutoelewana Ili Kuimarisha Uhusiano Wa Kazi Miongoni Mwao Kwa Manufaa Ya Wananchi Katika Kaunti Hiyo.

Share This Video


Download

  
Report form