Aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta Amewarai Raia Wa Congo Kuungana Katika Juhudi Za Kurejesha Amani Nchini Mwao. Katika Mazungumzo Ya Amani Jijini Nairobi Yaliyohudhuria Na Viongozi Wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki Uhuru Ambaye Anaongoza Mazungumzo Hayo Alisema Jukumu Kubwa Ya Kukuza Amani Ipo Mikononi Mwa Raia Wa Congo.